Get Paid Kuchambua Methali !!
Wakereketwa wa lugha, Wazalendo, mpo?
Methali ... chambueni ... kama hujui jaribu tu. Kuna zawadi kem kem kwa mshindi ... tena kando !!
"Cha mkufuu mwanafuu ha, akila hu, cha mwanafuu mkufuu hu, akila ha!"
Haya, twendeni kazi!!
38 Comments:
I will not try to fafanua that one mainly because I can’t. But I will offer one from my personal archives
Wahenga walisema…
Akikunyuma mara ya kwanza, makosa ni yako; akikunyuma mara ya pili, bado kosa ni lako; lakini mara ya tatu basi itikia ana maringo na inabidi uendelee.
Kwani it's riddles-with-prizes time on KBW? Mbona ukanicopy? :) N'ways, that one is sugu, so I'll have to research kidogo...
My swa isn't so rusty so i'll give it a try...
I'll break it down. First off definitions
Mkufuu-mwalimu/mzazi(parent/teacher or anyone senior of a child/student)
mwanafuu-mwanafunzi/mtoto(child/student/minor)
Simply Mkufuu is senior of mwanafuu. And mwanafuu is a minor to mkufuu
Cha mkufuu mwanafuu ha-inamaanisha ya kwamba kitu chochote cha mzazi au mwalimu au mtu yeyote anayemzidi mwanafunzi ama mtoto(MWANAfuu) kwa umri haifai mwanafunzi akichokore. Simply the child doesn't meddle in a parent's or teacher's affair.
Akila hu-mwanafuu/mtoto/mwanafunzi akichokora vitu vya mzazi ama mwalimu (hu)huona cha mtema kuni. Simply meaning if a child meddles in a parents' affairs he faces the wrath by getting some kind of punishment.
Cha mwanafuu mkufuu hu(hula)-chochote ambacho ni cha mwanafuu/mtoto/mwanafunzi mkufuu/mzazi/mwalimu anaweza chokora
Akila ha-na hata akichokora (ha)haoni cha mtema kuni. Just simply meaning that since a parent or teacher is senior to a student or child he can meddle in the child's affairs without facing any consequences. It's in the parent's/teacher's position to meddle as the child's senior
eish msee! SWALEH UKO? TUSAIDIA HAPA DADDI?
mpe prettylyf...
hu-ha!
prettylyf, ati nini? I am trying to understand the explanation itself.
my swa needs serious work
hii umejitungia kwa hivyo haina jibu.
Prettylyf has to be right...
Otherwise am so bila clue!
Hii hata Kwa KCSE I would not have jaribud
WEEEE WACHA....is this for real?
Manzee even the lesso I have at home I can chambua.
This aint right.
Patia prettylyf hiyo zawadi!
@ 3n: LMAO seriously!! You should expose more of your archives ...
@ egm: umeicrack ama unaamini pretty?
@ pretty: hmmm ... really?
@ modo: ndo mie Mdoe ... usitafute mbali :)
@ komi: wacha ... usifanye nikutungie shairi ...
@ farmgal: whaat? why does she have 2 be right ...
@ kenya only: things woulda been thick, eh?
@ mocha: is the prize 4 real or is the methali 4 real ?
Mwangi, am I banned from attempting to answer this one? Si you know why?
Not even attempting, am I banned from ANSWERING this one?
Archer ... i SUSPECT ...
Coz of DSC in D/H ama?
:)
Unakumbuka:
"egocentric myopia"
oh my!!! I cannot even attempt to think of attempting this one!
Ata hiyo "egocentric myopia" naikumbuka tena vividly! Wacha basi guys crack their vichwaz! Sijui ka unakumbuka "medallic metals"
Is that a methali or a tongue twister?
Where is bantutu and basket Muyuka
Kwanza we start with mnyambuliko wa sentesi.
yaani, ukiangalia katika ngeli ya Mmm na huuu....
Aki i've lost my train of thought LOL
I think you twisted something hapo ivo
should it not be: *cha mkufu mwanafu hu na aki ha, cha mwanafuu mkufuu ha na aki hu*????
kwa urefu: cha mkufunzi (mwalimu) mwanafunzi hula na akila hafi, cha mwanafunzi mkufunzi hali na akil hufa.
it simply means a novice can learn from a pro and benefit but a pro cannot learn anything from a novice.
SHOW ME DE MONEY :-)
This is a great find. I am loving your blog.
@ Kipepeo: not thaaat hard ...
@ Archer: hiyo ni ya Sodium, ama?
@ 2halfs: it's like a combo of both ...
@ inexes: aaaii, inaonekana hunyambui ... unanyamba ... lol
@ chatterly: la, lakini umejaribu ... na nani alikwambia malipo ni pesa ... ni kando ..
@ Pseudo: Thx. 4 stopping by ... welcome to my semi-insanity ...
You mean no one has answered yet. I saw it long ago and kept off since I have no clue so I not the only one.
Hayaa ...
Shangwe, vigelegele ... mshindi wa kwanza ni:
a) Prettylyf
b) Chatterly
Hongera!!
You have won yourselves "The purrfect kiss" from yours trully!! Kama nilivyosema ...
"Kando" :)
After all that, what you were giving was a measely kiss.
AAAARGGHHH!!!
Wee Mocha ... kwanza wee uliloba!! I have not defined my "perfect kiss" ... it has preambles and ambles ...
Yaaaayyyy feeling all kissy kissy...ebu pucker up :-***
Lost! Still Findin my Way...:=)
Please chambua:
Sikuwe!
Hahahaha. Kiswahili maji marefu kwangu lakini. Ila ninajua methali kama: Cha kwangu, cha kwako ni chetu.
Good dispatch and this post helped me alot in my college assignement. Thanks you for your information.
Sorry for my bad english. Thank you so much for your good post. Your post helped me in my college assignment, If you can provide me more details please email me.
Cha mkufuu mwanafuu ha na aki hu, walakin cha mwanafuu mkufuu hu na aki ha.....in other words....cha mwalimu mwanafunzi hali na akila hufa, walakin cha mwanafunzi mwalimu hula na akila hafi....meaning....ni wajibu wa mwalimu kumfundisha mwanafunzi na akiamua kumpa mwanafunzi kazi afanye ni sharti mwanafunzi afanye na asipofanya basi mwalimu ana haki ya kumuadhibu lakini kile mwanafunzi anataka si lazima mwalimu afanye na mwalimu akikataa kufanya mwanafunzi hawezi kujitetea kivyovyote.
Maana yake inakaribia kufanana na....Mnyonge hana haki.
By Edmund Mwanjelle, Kenyan Journalist.
Hii methali inkaa kama ya KCSE.Nakwambia mimi hata sijui kuisoma 4get about kuichambua.
Mtoto hawezi kula cha mwalimu au cha mzazi lakini mwalimu anaweza kula cha mtoto.
wazito washasema kina charterli nawengine wamenene.
Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hu(hufa)nacha mwanafunzi mkufunzi hula na akila ha (hafi)
Kiswahili Kitukuzwe!
Just love this😘😘
Post a Comment
<< Home